Saturday, October 1, 2011

KANUMBA AWA BALOZI WA STAR TIMES NCHINI



            Mmoja wa maofisa waandamizi wa kampuni ya Star Times, akimpongeza Kanumba...

KAMPUNI ya vipindi vya luninga inayotumia mfumo wa digitali ya Star Times, ambayo imeingia ubia na Taasisi ya Utangazaji nchini, TBC, jana ilimtangaza msanii maarufu wa filamu za maigizo, Steven Kanumba, kuwa balozi wake hapa nchini.
Kanumba alitangazwa jana kwenye hafla ya uzinduzi wa Star Times Media uliofanyika Hoteli ya MovenPick jijini Dar es Salaam.

Cheche za moto zikiruka hewani kuwashiria uzinduzi huo.

Mkurugenzi wa TBC, Clement Mshana, akimpongeza Kanumba.

Mapaparazi wakifuatilia matukio kwenye uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...