Saturday, October 1, 2011

Comedy ZONE

Kulikua na machungaji wa3 walikua wameamua kwenda kutembea na wakaambiana wapeane siri zao za moyoni...

Pastor wa1: "Me mwenzenu kule kanisan nmeshatembea na masister, wake za watu wengi...na wengi bado nawafuatilia...!!!"

Pastor wa2: "Daah!! Mi kusema ukweli nimesha iba saaana sadaka za waumini pale kanisani na nimeshatapeli wakina mama wengi sana...."

Yule pastor wa3 akawa anasita sita wenzake wakipgwa na butwaa na kumuuliza kulikon?! Au unasiri nzito zaidi ya hizi ze2??

Pastor3 akaamua kujibu: "Yaaaani kwa kweli mi mwenzenu UMBEA huwa siwez uvumilia, lazma huwa kila siri nimwambiage ASKOFU then baadhi ya waumin na wazee wa kanisa wakitoka kanisani...."

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...