Tuesday, October 2, 2012

"NAPENDA KUSEX NA WATOTO WADOGO KWA SABABU HATA MIMI NI MTOTO PIA. WAZEE SIWATAKI"......SHILOLE



Leo  imefanyika  imefanyika  interviw kali  sana kati  ya  SHILOLE  na AUNT  EZEKIEL.....

Lengo  la interview hiyo  lilikuwa ni kujua msimamo  wao juu ya  skendo mbalimbali  zinazo  wakabili  hasa ikizingatiwa kuwa  wao ni vioo vya jamii......

Miongoni mwa mambo ambayo tulitaka kupekua  na kujua ni  pamoja na KUVAA  NUSU  UCHI, KUPIGA  PICHA  CHAFU, KUTEMBEA NA WAUME ZA WATU, KUBADILI  WANAUME KAMA NGUO, NA KUTEMBEA NA WATOTO  WADOGO  AMBAO  SIYO  SAIZI  YAO.....

Kila mmoja  alikuwa  na  majibu yake kulingana na skendo  zinazomkbili......

Wa kwanza  kumuuliza  swali alikuwa ni Aunt Ezekiel:

MWANDISHI: Wasanii wengi wamekuwa na  tabia ya kutengeneza skendo  kwa kupiga picha chafu  ili watoke  kwenye magazeti  ya udaku na wakati mwingine mtu anaweza akajipiga picha tena katika mazingira ya chumbani.....Cha kushangaza kesho  picha hizo utazikuta katika mitandao...Unadhani ni kwa nini?

AUNT:  Siwezi kukataa walakukubali, lakini stori  nyingi ni zakutengeneza....

Sisi wasanii wa kike tunaonewa sana.Sijawahi pongezwa hata  siku moja kwa kazi  nzuri  ninazozifanya.....Inamaana wanachokiona toka kwangu ni kukaa  nusuuchi tu?

Kuna wakati mwingine hutokea  kweli mtu akapitiwa lakini  sidhani kama nijambo lakukusudia.....

Kwa upande wangu nadhani naandamwa na skendo kutokana na umaarufu nilio nao.......

Umewahi kujiuliza  ni kwa nini watu  kama  Amina, Asha, Mwajuma hawaandikwi?....Ni kwa sababu mimi ni Super  star

Baada  ya swli hilo,  mwandishi wetu alihamia kwa  SHILOLE

MWANDISHI:Mara nyingi umekuwa ukikabiliwa naskendo za  kubadili wanaume na  kutembea  na watoto wadogo ambao si  rika lako.....Yaani  uki google  jina la shilole katika net  unachokutananacho ni skendo tuu.....Hii imekaaje Shilole?

SHILOLE: Kwa kweli hata mimi nashangaa sana....Kinachoandikwa na magazeti hakina  ukweli  ndani
yake.....


Nakumbuka kuna  kipindi  niliandikwa,"Shilole  atoka  na  watoto  wadogo".....Hiyo  ilikuwa ni front page.

Kuja  kufuatilia kilicho  andikwa ndani  hakiendani na  Cover ya  nje.Ndani walimaanisha kuwa  siku hiyo  nilifanya show  na watoto  wakacheza  pamoja nami....



Lakini hata hivyo,  ngoja niwe muwazi, wanaposema mimi ninatoka na watoto wadogo,  ni nani aliyewaambia kuwa mimi ni mzee?


Hata mimi ni mtoto, bado  ni kijana,wazee wanini sasa?
 --------------------------------------------------------------------
HII  NDO VIDEO YA INTERVIEW YA SHILOLE  NA AUNT EZEKIEL ...IDOWNLOAD  ILI UJIONEE





SHUKRANI  ZA DHATI  KWA RADIO  SAFARI

1 comment:

  1. Aunt ezekiel na shirole acheni kuvaa nusu uchi kwani hata sisi tunamapaja mazuri kushinda yenu mbona hatuyaachii wazi jalini utu wenu kwani mwili ni wa thamani sana co kukaa kaa tu uchi mbona RIYAMA ni mzuri lkn ushaona kakaa uchi au skendo za ajabu au ndo kutaka umaarufu.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...