Sunday, October 21, 2012

Bob Junior Anyang'anywa Gari na Dallas, Alimpaga Kama Gift ya Kumuunganisha na Jack Wolper...



Raisi wa Masharobaro na mmiliki wa Sharobaro Rec Mjini hapa inasemekana amenyang'anywa gari alilokua nalo na mchizi anaeitwa Dallas ambalo alipewa kama dhawadi baada ya kumuunganishia kwa Jackline Wolper... Habari zaidi huyu hapa Gossip Cop wa Clouds FM ....

Bonyeza Kusikiliza 


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...