Wednesday, October 10, 2012

IMEVUJA: MASTAA WAMEKUWA NA TABIA KUWAHONGA WAANDISHI ILI WAANDIKWE MAGAZETINI



Utakuta mtu akienda chooni anajipiga picha na kumuhonga mwandishi amtoe gazetini......

Hivi nyie mastaa mna mtazamo gani?  au mnajitangaza mpate soko haswa ladiez kama wema sepetu, jackline wolper, shilole jini kabula n.k

Utakuta mtu bila ya aibu anamwita mwandishi wa habari anamlipa hela kidogo anapachua sidiria au kichupi then anamwambia mwandishi  nipige picha ukatoe gazetini.....Hii  ni aibu

Mnatutia aibu jamani navichupi vyenu na visidiria vya mafungu.....Hivi ninyi hamna wazazi au ndugu au hamkufundwa huko kwenu?......Badilikieni jamani...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...