Sunday, October 7, 2012

HOT HOT ZA FIESTA 2012 DAR NA THE BOSS MR. RICK ROSS....


Huyu Rick Ross wa bongo alinichekesha sana manake alijitokeza kusikojulikana wakati watu wana shauku ya kumuona Ross mwenyewe, watu walimshangilia kweli wakijua ni mwenyewe hata mimi mwenyewe nilikua mbali ikabidi nimfate lakini nilipokaribia nikajua ni Ross wa bongo.

Mpaka baunsa ilibidi acheke manake yeye ndio aliingizwa mjini kwa asilimia 98 kabisa.
KUANZIA HAPA NDIO RICK ROSS MWENYEWE.

gari alilopanda Rick Ross

Young Killer kwa stage

V.I.P
Millard, Dj Fetty na B dozeN
 
Rich Mavoko

Stamina


COUTRY BOY

Linna
Mwana FA



Rick Ross.

.

.

HAPO SASA...

.

My Friend Jules na Vanessa Mdee wa 102.6 Choice Fm.

.

.

Huyu mshkaji amekuja na Rozay, ndio anahusika kumpiga picha zikiwemo video pia.

Alijichanganya katikati katikati pia.


Rick Ross akipagawisha vilivyo katika Serengeti Fiesta 2012.
Rick Ross akifanya makamuzi ya hatari ndani ya Leaders Club muda huu.
Nyomi ikiinua mikono juu kuonyesha kukunwa vvilivyo na shoo ya Rick Ross.
...Siwasikii: Ross akionyesha ishara kuwa hawasikii mashabiki.
Mabaunsa wakijaribu kuwazuia mashabiki waliopagawishwa na shoo ya 'The Boss'.
Rick Ross wakati akipanda stejini.
Gari alilokuja nalo Rick Ross.
Rick Ross akizidi kulishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta 2012.
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani, William Leonard Roberts II 'Rick Ross' usiku huu amehitimisha burudani za Serengeti Fiesta kwa mwaka huu baada ya kupiga shoo bab kubwa ndani ya Viwanja vya Leaders Club. Msanii huyo amewapagawisha mashabiki ambapo wengine wameshindwa kujizuia na kujikuta wakitaka kuvunja uzio ili angalau waamsogelee karibu  kitendo kilichowapa kazi ya ziada mabaunsa waliokuwa katika viwanja hivyo.




No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...