| Hii ni cake maalum ambayo aliniletea Wema kama moja ya zawadi ya Birthday yangu |
| Hapa nikiwa na Dada yangu wa hiyari Halima kimwana |
| Wema na dada yangu Esma wakilishana Cake |
| All de way from UK Naj pia alikuwepo |
| Dimpoz kwa Poz, Mboni Masimba na Mecky |
| Hapa tukiwa na Roho ya Wolper Legraa Dallas |
| Bhaaaaaaasssssssss....! |
![]() |
| Rucky Beby tena... |
| Joff mnyama pia ndani |
| Hapa babtale na Naj wakiteta jambo |
| Team sheta pia Ndani.... |
| Weeeeeeeeeeeeee.........! |
| Dallas tena...... |
| Hapa wema na Mboni masimba |
| Kama ulikua haujui hawa ndio vijana wanaoongoza kwa Kuvimba mjini........LOL! |
| All de way from America Wasafi walikua ndani pia...... |
| DOZEN & SHETTA |
| Watoto wa ManzeseTIPTOP pia ndani |
| Watuacheeeeee na Mama yangu mboni ali masimba....... |

No comments:
Post a Comment