Friday, October 12, 2012

YALIYOJIRI MBAGALA...WAISLAMU WAKINUKISHA KITUO CHA POLISI.. MADAAI MTOTO KAKOJOLEA MSAAFU!!!!!



TUKIO KATIKA PICHA: 
SHUHUDIA TUKIO ZIMA LA VURUGU ZA WAISLAM MAPEMA LEO HUKO MBAGALA! WAVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI , MABOMU YA MACHOZI YALINDIMA!




Waislam wenye itikadi kali wavamia kituo cha police mbagala KIZUIZ NIwakidai wanamuitaji
mshitakiwa wao haliyekamatwa leo asubui kwa kitendo cha kumnyang'anya binti msaafu na kukojolea leo asubui. kwa kitendo hicho kiliwalazimu police kuwatawanya watu kwa kutumia mabom ya machozi kitendo ambacho kime asili mwenendo wa masomo kama tunavyo ona katika picha wanafunzi wakilia.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...