Sunday, October 21, 2012

Binti Afanya Mnada Kuuza Bikira yake Ili Kusaidia Masikini...

Catarina Migliorini, mwenye umri wa miaka 20 wiki iliyopita alifanya mnada kuuza bikra yake na kima cha juu kilichofikiwa kilikuwa $160,000 sawa na hela za Tanzania 252,800,000 (Milioni 252).

"Ukifanya mara moja haikufanyi uwe malaya. Kwani ukipiga picha nzuri moja ndio utajiita mpiga picha?" alihoji Catarina.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...