![]() |
| Jery Tegete akigombea mpira na beki wa Ruvu, Baraka Jaffari katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga ilishinda 3-2, ikitoka nyuma kwa 2-0. |
![]() |
| Tegete na Baraka Jaffari |
![]() |
| Tegete akimpiga tobo beki wa Ruvu, Ibrahim Shaaban, kulia ni George Assey |
![]() |
| Haruna Niyinzima akiteseka katikati ya viungo wa Ruvu |
![]() |
| David Luhende akipambana na wachezaji wa Ruvu |
![]() |
| Bao...Seif Abdallah akiinuka kushangilia, huku Yaw Berko akigalagala...hili lilikuwa bao la kwanza |
![]() |
| Juma Abdul aliyeruka juu kupiga mpira kichwa mbele ya mshambuliaji wa Ruvu, Abrahaman Mussa |
![]() |
| Tegete na Baraka jaffari |
![]() |
| Tegete na Baraka jaffari |
![]() |
| Ruvu wakishangilia bao la pili |
![]() |
| Niyonzima akimgeuza mchezaji wa Ruvu |
![]() |
| Bao...Ruvu wamefunga |
![]() |
| Ruvu baada ya kufunga bao la pili |
![]() |
| Yaw Berko akiruka bila mafanikio, mpira unatinga nyavuni |
![]() |
| Nurdin Bakari akikosa bao la wazi |
![]() |
| Makocha wa Yanga, Brandts na Msaidizi wake, Minziro |
![]() |
| Shamte Ally na Nizar Khalfan benchi |
![]() |
| Athumani Iddi 'Chuji' na Hamisi Kiiza benchi |
![]() |
| Ruvu wakiomba dua kabla ya mechi |
![]() |
| 11 wa Yanga walioanza |
![]() |
| 11 wa Ruvu walioanza |
![]() |
| Kipa wa Ruvu Benjamin Haule akipangua shuti la mpira wa adhabu la Mbuyu Twite |
![]() |
| Hamisi Kiiza akimghasi kipa Benjamin Haule |
![]() |
| Kiiza akishughulika |
![]() |
| Benjamin Haule akitibiwa na daktari wa Ruvu, Simon Sugule baada ya kuumia |
![]() |
| David Luhende akidhibitiwa na beki wa Ruvu |
![]() |
| Kavumbangtu chini ya ulinzi |
![]() |
| Bao la mpira wa adhabu la Twite |
![]() |
| Tegete akiondoka na mpira baada ya Twite kufunga |
![]() |
| Rashid Gumbo akienda chini baada ya kukwatuliwa na Ernest wa Ruvu |































No comments:
Post a Comment