AIBU: MSANII WA CAMP MULLA APIGA PICHA ZA UTUPU
Miss Karun ni msichana pekee ndani ya kundi la Camp Mulla....Upekee huo umemfanya atake kujulikana zaidi kupitia sifa za kijinga za kujianika hadharani akiwa mtupu....
Picha hizo zimeanza jana kusambaa kwa kasi mitandaoni .
Katika utetezi wake, mrembo huyo amekanusha kwa kudai kuwa hiyo ni sura yake lakini eti anahisi "amepikwa"
No comments:
Post a Comment