Sunday, October 21, 2012

JAMAA AOMBA TIGO FACEBOOK....


  
Mpendwa  msomaji,  huyu  ni Nancy Mitisa  aliyekumbwa  na zali  la kuombwa Tigo......
Jambo  hilo  lilimkera,  lakini braza  huyo  aling'ang'ania  apewe  au  atafutiwe......
Varangati  lilienda  mbali zaidi mpaka  wakaanza  kupeana matusi ya nguoni.......
Haya ndo  mabishano yao:
 ----------------------------------------------------------------
KABLA YA MABISHANO YAO, HUU  NI  USHAURI WA  NANCY KWA  WANAUME.

-------------------------------------------------------------------------

(1) Ni kawaida kwa wanaume wetu kumtamkia mwanamke "I Love You" katika email, text message au post ya kwanza tu. Umempendaje mwanamke ambaye humfahamu na ndiyo tu umeanza kuwasiliana naye? 
Tabia hii inakera na mnaishia tu kujidharaulisha na kujishushia hadhi. Na kwa wazungu ndiyo kabisa wanaishia tu kushangaa!!!



(2) Ni hatari sana kuacha namba zenu za simu hovyo hovyo mitandaoni.Namba hizi zimeandikishwa na ni utambulisho wenu. Ni nini kinachowafanya kuziacha namba hizo kila sehemu mitandaoni? E-mail moja tu tayari mtu umeshatoa namba ya simu - call me, call me. 
Unamjuaje huyo unayempa hiyo namba yako? Ni nini kinachokufanya uamini kwamba kweli mwanamke wa kweli na heshima zake atachukua simu na kumpigia mtu ambaye hamfahamu; na ndiyo kwanza tu wameanza kuwasiliana?



Acheni kuacha namba zenu za simu hovyo hovyo mitandaoni. Ni hatari !!!



(3) Acheni pia kutumia email zenu za kazini. Vipi kama huyo unayemwandikia ataamua kuwasiliana na mwajiri wako na kulalamika kuwa unambugudhi? 
Kumbuka kuwa huyu ni mtu ambaye mnawasiliana mtandaoni tu na humfahamu. Wewe umekazania kutaka kumpiga tigo, vipi akiamua kuzusha zali kwa kuwasiliana wakubwa wako wa kazi huku akitishia kwenda mahakamani? Utaishia kufukuzwa kazi bure. Kuweni waangalifu kaka zangu !!!



(4) Jambo linalonikera kuliko yote ni kuandamwa na wanaume wakitaka niwatafutie wanawake wa kupiga tigo. Mtu anakuandikia moja kwa moja akikwambia umtafutie mwanamke mrefu, mweusi kidogo, mnene wa wastani na mwenye matako makubwa, ku*** tamu nene na mku***  wa uhakika ili awe anampiga tigo.Mimi siyo "Pimp".



Jambo la kusikitisha zaidi ni kwamba wanaume wengi wenye tabia hii na wanaosumbua sana ni waume za watu na kwenye profile zao za Facebook wanaonyesha kabisa kuwa wameoa na wengine wana picha wakiwa na familia zao. Lakini bila aibu hata kidogo bado tu wanaandika wakitaka niwatafutie malaya wa kuwa wanapiga tigo.Wengine mpaka wanaahidi kunilipa. 



Nimekuwa mkali sana katika jambo hili ingawa wengine wanakuwa ngangari mpaka kufikia kiasi cha kugombana nami na kuniporomoshea matusi kama huyu mchovu anayejiitaRobyn Roberts. Sijui kama ni jina lake halisi lakini nilikuwa mkali sana kwake aliponishupalia kuwa eti ni lazima nimtafutie mwanamke wa kuwa anapiga tigo kwa siri kwa sababu ana mke. 
Ni tabia gani lakini hii jamani? Ni kweli mko desperate namna hiyo mpaka mnakuwa wawazi na bold kiasi hiki tena kwa watu ambao hamuwafahamu?
 Hamuogopi UKIMWI na haya mambo yenu ya tigo za siri huku mkiwa na wake na watoto huko majumbani mwenu?

Mazungumzo Yalianza Hivi....



Halafu Yakaendelea Hivi....




No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...