Tuesday, January 3, 2012

MBAGALA WAIKUBALI DAR LIVE!



Mandhari ya nje katika lango kuu la kuingia ndani ya uwanja wa Dar Live, uliyoko Mbagala Zakhem.

Watoto waliohudhuria uzinduzi jana wakiwa ndani ya bwawa la kuogelea wakati wa uzunduzi

sehemu ya mandhari inayopatikana ndani ya Dar Live

Jukwaa la burudani ya Dar Live sehemu ya mbele, ambalo lina uwezo wa kumnyanyua juu na kumshusha chini msanii!

Sehemu ya uwanja wa Dar Live ulivyokuwa jana mchana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...