Tuesday, January 3, 2012

DAR LIVE INATISHA, MASHABIKI KIBAO WAJIMWAYA VILIVYO...


Hii nd'o Mbagala Bwana!  Huu ni umati uliofurika katika kituo cha Dar Live Mbagala usiku wa kuamkia leo.

Inspector Haroun akiongoza Gangwe Mobb kupagawisha mashabiki. 

…. akiwajibika na kundi lake.

Profesa J: Nikisema Dar, Sema Live!!!

…Jay akiongea na mashabiki wake.

……akiwajibika na mdogo wake..

.....show girls wa Mbagala...full mzuka!

...totozi za Mbagala kama mamtoni!

Mzee Yusuf alikoleza moto wa Dar Live.

Leila Rashid wa Jahaz Modern Taarab akiwadatisha mashabiki.

Juma Nature na wanaume halisi wakikoleza moto wa maraha.

Wanenguaji wa Extra Bongo wakiongeza utamu wa uzinduzi huo.
Mshereheshaji wa onyesho hilo kutoka Times Fm akifurahi na mashabiki.

Kundi la Wanaume Halisi linaloongozwa na Juma Nature likinyanyuliwa juu ya jukwaa.

Mwanamuziki wa kundi la Wanaume Halisi, ajulikanaye kama  KR (kushoto) akiwa na mtoto wa mpigapicha wa Global, Ajibu Issa Mnally.

Baadhi ya wasanii waliotoa burudani jana. 

Samaki na Nyama choma za kufa mtu zilikuwepo...

DAR LIVE, ukumbi wa kisasa wa maraha ya kila aina ulioko Mbagala Zakhem, Dar es Salaam, jana ulizinduliwa rasmi na kufurika watu lukuki waliojimwaya katika starehe za muziki, vinywaji, kuogelea, kufaidi mabembea, na kadhalika. Miongoni mwa starehe za kuvunja mipini ya shoka zilizopatikana katika kituo hicho, ni muziki ulioangushwa na Jahazi Modern Taarab, Extra Bongo na wasanii nyota  wa muziki wa Bongo Fleva, Profesa Jay, Gangwe Mobb na Wanaume Halisi  wakiongozwa na Juma.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...