Tuesday, January 3, 2012

JK KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA KIJIJINI KWAKE MSOGA


Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wakaazi wa kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipojumuika nao wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011 na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.

Fashifashi ziking'arisha anga ya kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani ambako Rais Jakaya Kikwete alijumuika na wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011 na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.

...baadhi ya wakazi wa Msoga wakishuhudia na kuchukua kumbukumbu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...