Tuesday, January 3, 2012

Comedy ZONE


  • Hizi ndoa jamani! Mwanamke mmoja aliezaa watoto wawili nje ya ndoa bila ya mume kufahamu alilazwa hospitali. Kwa kua alikua na hali mbaya sana na hakutaka afe na dhambi alipanga kumweleza mumewe na mazungumzo yalikua hivi.
  • Mke: Mume wangu kuna kitu nataka kukwambia.
  • Mume: Nini tena mke wangu?
  • Mke: Ni kuhusu hawa wa wa wa wa...
  • Mume: (akamkatisha) Kama ni kuhusu watoto usijali mke wangu, nilishagundua ndio maana nimekupa sumu ufe!
  • Du! Hizi ndoa jamani!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...