Tuesday, January 3, 2012

Comedy ZONE


Ebwana daaah...
Ndani ya Rick City msukuma alimkuta mzungu akamuomba lift... 

Mzungu alikua anaelekea dar, so mzungu akamuuliza kwa kizungu kwamba unaenda kilometa ngapi toka hapo?!?

Msukuma hakuelewa na alikuwa mgeni na town, akajibu kwa lafudhi za kisukuma...
'We twente tu..' 

Akimaanisha twende tu... Mzungu akajua ni twenty two!! 

Basi mzungu akakanyaga mafuta na gari likaondoka kwa speed 120...

Baada ya umbali fulani mzungu akauliza tena... 
Jamaa akajibu tena... 
"Bwana twente tu...."

Mzungu akazdi kanyaga mafuta... Muda tena mzungu akauliza kwa kizungu bado hujafika?! 

Jamaa akajibu tena.. 
"Twente tu bwana..."

Mzungu akakanyaga mafuta na mwisho wa cku msukuma akajikuja kaingia dar ubungo badala ya nyegezi mwanza...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...