Tuesday, January 3, 2012

AIRTEL BONGO 50 YAFANA




wasanii wa kundi la Uswahilini Matola wakiimba wimbo wao uitwao Kosa

la Marehemu hakuvaa condom mbele ya wakazi wa jiji la Dar (hawapo
pichani) waliojitokeza kwa wingi ndani ya viwanja Leaders
Club,Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki,ambapo wakazi wa jiji hilo
na vitongoji vyake walijumuika pamoja katika mpango mzima wa kuuaga
mwaka kwa shangwe.Tamasha hilo limedhaminiwa na kampuni ya simu za
mikononi ya Airtel,kupitia huduma yake mpya ya Airtel Money.


washabiki na wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakiburudika kutoka

kwa wasanii wa muziki huo kwenye tamasha hilo


Sir Juma Nature akiliongoza kundi lake la Wanaume Halisi kutoka

Temeke, akiwarusha kwa namna yake mashabiki


Mfalme wa Rhymes,a.k.a Simba Mzee a.k.a Anko Virus Afande Sele

akiwaimbisha kwa shangwe wapenzi na washabiki wa muziki mbalimbali
waliofika kwenye tamasha la Airtel Bongo 50,ndani ya viwanja Leaders
Club Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki,ambapo wakazi wa jiji hilo
na vitongoji vyake walijumuika pamoja katika mpango mzima wa kuuaga
mwaka kwa shangwe.Tamasha hilo limedhaminiwa na kampuni ya simu za
mikononi ya Airtel,kupitia huduma yake mpya ya Airtel Money.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...