Thursday, January 5, 2012

Comedy ZONE


  • zuzu kakaa kwenye dala dala akawa anajisemesha kwa sauti......
  • baba angekuwa fahali,mama ng'ombe na mi ndama, baba jogoo.mama jimbi mi kifaranga, abiria wakagomba anyamaze kondaa akamletea kibesi maanake anaendelea. kimya kikatanda mara konda akaamua kumwaibisha ikwa hivi
  • konda"mfano mamako angekuwa malaya na babako mlevi we kuwa nani?"zuzu akawa kimya akiwaza kisha
  • zuzu"mi ningekuwa konda"


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...