Saturday, May 12, 2012

UWOYA AANIKA ‘CHAKULA YA MTOTO’ UKUMBINI


MSANII wa filamu, Irene Uwoya juzikati alipatwa na aibu ya aina yake baada ya kuingia ukumbini akiwa ametinga kigauni kilichoacha wazi ‘chakula ya mtoto.’

Tukio hilo lilitokea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa mama mjasiriamali wa mjini anayefahamika kwa jina la Mama Loraa iliyofanyika Mbezi jijini Dar es Salaam.

Akiingia katika ukumbi uliopo nyumbani kwa mama huyo, Uwoya alionekana akiwa ameongozana na msanii mwenzake, Zuena Mohammed ‘Shilole’ lakini ghafla gauni alilokuwa amevaa lilimvuka na kujikuta akiiacha sehemu yake hiyo nyeti wazi.

Baada ya kuona anahadhirika, alijiweka freshi na fasta akatafuta kiti akakaa bila kujishitukia kama aliaacha wazi ‘nyonyo’ yake.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...