Thursday, May 10, 2012

KWA MLIODHANI WILL SMITH NA MKEWE WAMETENGANA KIMYA KIMYA.



Kwa miezi kadhaa kumekua na stori za chini chini kwamba mastaa Will Smith na mkewe wameachana, na watu wamekua wakiambatanisha baadhi ya tweets za mtoto wao Willow zinazofanana na kuachana kwao, stori kamili ni kwamba bado wako pamoja na hata kama kuna matatizo hawataki watu wa nje wafahamu, picha hizi ni wakati walipopita kwenye red carpert huko Kosea kusini juzi kupremiere movie mpya ya Will Smith iitwayo Men In Black 3.

Jada

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...