Monday, May 14, 2012

MAMA AKIMCHAPA MWANAE WA MIEZI 8 BILA HURUMA





Mama akimchapa mwanae wa miezi 8.



Video hapo juu: Mwanamke mmoja wa nchini Malaysia akimchapa mwanae wa kike mwenye umri wa miezi 8 bila huruma. Mama huyu kwa sasa anatumikia kifungo cha miezi 18 jela kwa kosa hilo. Sehemu hii ya video yenye urefu wa dakika 4 na sekunde 19 imeonekana sana katika mtandao wa Kijamii wa Facebook ambapo watu wengi wamelaani kitendo hiki alichokifanya mama huyu mwezi Mei mwaka jana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...