Sunday, May 20, 2012

CHELSEA BINGWA UEFA


.
.
.
.
.
.
.
.
.
Chelsea walishinda kwa Penalty baada ya dakika 120 kumalizika ngoma ikiwa droo.. ambapo penalty ya mwisho ya Drogba ndio iliipa ushindi Chelsea, Drogba pia ndie aliefunga goli pekee la chelsea na kupelekea kuwa droo na kupewa extra time.






Wachezaji wa Chelsea wakishangilia na kombe lao, baada ya kuifunga Bayern Munich kwa jumla ya penalti 4-3, katika mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya iliyopigwa kwenye Uwanja wa Allianz Arena, jijini Munich jana usiku.

Mshambuliaji wa Chelsea, Didier Drogba (katikati) akishangilia na kombe baada ya timu yake kuifunga Bayern Munich kwa penalti 4-3.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...