Wednesday, May 16, 2012

SHILOLE NA KUNDI LAKE WAMWAGA RADHI KATIKA SHOO MOROGORO


Shilole na kundi lake wakimwaga radhi ndani ya ukumbi wa DDC iliopo mkoani Morogoro.

Msanii Ferouz akiwarusha mashabiki.

Mkali wa Bongo Flavour, Bi. Cheka akionyesha umahiri wake.

Bi. Cheka akidansi na shabiki wake.

LICHA ya serikali, kupitia Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), kukemea vikali shoo za nusu uchi zinazofanywa na makundi mbalimbali yanayotumia staili ya khanga moja, hivi karibu msanii Shilole aliangusha shoo kali mkoani Morogoro ambapo wanengauji wake walicheza nusu uchi huku wakiwa wamevaa mtandio mmoja mwepesi na hivyo kuyapiku kwa mbali makundi mengine yanayotumia khanga moja ....

Shilole alifanya shoo hiyo katika ukumbi wa DDC uliopo maeneo ya Nunge mjini hapa akisindikizwa na wasanii wakongwe wa muziki wa Bongo Fleva, wakiwemo Ferouz, Dogo Aslay, Mkubwa Fella, Bi. Cheka na wengine...

Shoo hiyo iliandaliwa na duka la vifaa vya michezo la 'Gunners World Sports' lililopo maeneo ya Masika.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...