Wednesday, May 16, 2012

BAADA YA KUFIKA INDIA, HIKI NDICHO ALICHOSEMA WASTARA KUHUSU SAJUKI.


Dina Marios wa Leo Tena ya CLOUDS FM.
Baada ya kufika India anakokwenda kutibiwa mwigizaji SAJUKI, mke wa mwigizaji huyo (Wastara) amewasiliana na Dina Marios kumfahamisha hali halisi ilivyo, hayo hapo chini ni maongezi yao ambayo Dina ameyaweka kwenye dinamarios.blogspot.com
.
Wastara, siku alipokua anachangiwa pesa za matibabu ya Sajuki kwenye kipindi cha Leo Tena.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...