Thursday, November 8, 2012

Yaliyojiri TEMEKE leo baada ya jamaa waliokuwa wakizini nje ya ndoa kunasa!!!!!







 Wananchi wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam leo, wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke. 


 FFU wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya Hospitali ya Temeke


 Baadhi ya watu waliofurika upande wa Hospitali  waktaka kuwaona wapenzi walionasana


 Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo


 Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao

-------------------------------------------------------------------
HIZI  NI  BAADHI  YA  RIPOTI  TOKA  TEMEKE. BOFYA"PLAY" UZISIKILIZE



  



Kupitia Leo Tena ya Clouds Fm leo kuna ripoti iliyotolewa na mashuhuda kwamba huko Temeke hospitali Dar es salaam leo kuna mwanamke mke wa mtu ambae amefikishwa hospitalini huku mwili wake ukiwa umegandana na mwanaume aliefumaniwa nae.

RIPOTI YA MWISHO...


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...