Thursday, November 8, 2012

FACEBOOK YATIBUA NDOA YA MAIMARTHA


NDOA ya Mtangazaji wa B&M, Maimartha Jesse inadaiwa kutibuka baada ya Maimartha feki kuibuka kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook na kuomba fedha kwa watu akidai ana matatizo makubwa ya kifamilia.
“Nilipigiwa simu na kuambiwa ishu hiyo, nikajitahidi kufanya uchunguzi wa kina ambapo nilimuomba huyo aliyetumiwa ujumbe na kutoa fedha anipe namba ya Maimartha, nikamtuma mtu akaongea naye, anaitwa Nasra,” alisema Mai.

Aidha, mwanadada huyo alisema anamsaka Nasra ili amkamate ‘laivu’ kwa vile ishu hiyo imechafua hali ya hewa ndani ya ndoa yake ambapo mumewe anaamini ni yeye na si Maimartha fek

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...