Wednesday, November 28, 2012

MAMBO MATANO USIYOFAHAMU KUHUSU "SHARO MILIONEA"


1. Tofauti na watu wengi waliopata kumfahamu kupitia tasnia ya filamu, Sharo Milionea alipata kujitengenezea pesa nyingi kupitia muziki na sio filamu.

2. Tunda ndiye mtu wa kwanza kupata taarifa ya kifo cha sharo milionea baada ya kupigiwa simu na kibaka aliyemchomolea marehemu muda mfupi baada ya ajali.     
3. Kitale na Mzee Majuto ni moja kati ya watu waliopata habari mapema zaidi na hali ilikuwa tofauti kwa Mzee Majuto kwani baada ya kupata habari za msiba presha ilipanda hata kupelekwa hospitali kwa uangalizi zaidi.                                                                                                          

3. Kitale na Mzee Majuto ni moja kati ya watu waliopata habari mapema zaidi na hali ilikuwa tofauti kwa Mzee Majuto kwani baada ya kupata habari za msiba presha ilipanda hata kupelekwa hospitali kwa uangalizi zaidi.                                                                                                          

4. Show ya mwisho aliyofanya marehemu ilikuwa Agape sec mkoani Arusha ambayo ilifanyika kishule shule. 

5.    Ule msemo maarufu ambao umepata kumtambulisha kwenye sanaa ya filamu “Oow mamaa” aliutoa kwa Dully sykes ambaye ana nyimbo inaitwa “Oow mamaa” from way back, Dully pia ndio alikuwa roll model wa marehemu kabla hajaanza muziki.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...