Wednesday, November 28, 2012

SAFARI YA MWISHO YA SHARO MILIONEA MCHANA HUU....


Millard Ayo kwenye interview na Mwigizaji Mzee Majuto.
.
Hiyo nyumba mbele kushoto ndio nyumba ya kina Sharo Milionea ndipo alipozaliwa.
.
.
.
Mwenye t shirt nyeupe ni Mwigizaji Kitale, rafiki wa karibu sana wa Sharo Milionea.
Baadhi ya waigizaji kutoka Bongo Movie
.
.
Mjomba wa Marehemu ambae alisema Sharo Milionea atazikwa saa saba mchana.






















Baadhi ya waombolezaji waliohudhuria mazishi ya marehemu Hussein Ramadhan Mkieti 'Sharo Milionea' kijijini kwao Lusanga wilayani Muheza mkoani Tanga leo.
Waombolezaji waliopoteza fahamu wakipatiwa huduma ya kwanza msibani hapo.
Miss Kinondoni namba 2, 2011, Husna Maulid akilia kwa uchungu wakati wa mazishi ya Sharo Milionea leo.






 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele 

 Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.



Mwili wa marehemu Sharo Millionea ndio umelala humu, nivigumu kuamini
Mama Yake Hussein Sharo Millionea Akilia Kwa Uchungu
Nape akizungumza na wananchi waliohudhuria msibani
Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa
Meneja wa Sharo anayejulikana kwa jina la HK akizungumza

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...