Monday, August 27, 2012

PICHA ZA SERENGETI FIESTA 2012 MOSHI, CHEK WEMA SEPETU NA AUNT WALIVYOTOKELEZEA, T SHIRT ALIYOVAA RAY…. FA, JOH, MR NICE NA WENGINE KWA STAGE..


.

.

Hili ndio gari la kurusha matangazo ambalo lilifanya kazi nzuri kupitia CLOUDS TV mzigo wote wa Fiesta ulionekana.

Shangwe zilivyozinduliwa.

.

Backstage.

.

Dancers wa Mr Nice

.

Mr Nice alirudi kwenye stage ya show kubwa ya Fiesta baada ya miaka, aliperform nyimbo zake za zamani pamoja na mpya pia.

.

.

.

Jambo Squad walifanya show kali sana.

Mwenye koti jeupe ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiifungua rasmi Serengeti Fiesta 2012.

Rich Mavoko akikamilisha show na dancers wake.

.

Shetta.

Mwigizaji Aunt Ezekiel akicheza baada ya kukaribishwa kwenye stage na B 12 wa XXL Clouds fm.

.

Wema Sepetu na Aunt Ezekiel kwa stage.

Mwigizaji Ray alivaa T shirt yenye kumuenzi aliekua rafiki yake Marehemu Steven Kanumba.

Linah aliingia kwa kuiimba Oliver Twist ya D’banj lakini aliiwekea maneno ya kiswahili japo melody ni ile ile.

.

Huyu ndio mshindi wa Gari aina ya Vits iliyokua inashindanishwa kwa njia ya kutuma msg, jamaa alituma msg zaidi ya 300 akihojiwa na B12.

Binamu Mwana Fa kwa stage.

.

CMB Prezzo.

.

.

Joh Makini mwamba wa Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...