Wednesday, August 22, 2012

HAWA NDIO WAREMBO WAWILI WA KENYA WALIOKUBALI MWALIKO WA KUPERFORM DAR JPILI HII.


Marya.
Avril na Marya ambao ni mastaa wa hit single ya ‘Chokoza’ wamekubali mwaliko wa kulimiki stage club Billicanas jumapili hii August 26 2012 kwenye Extreem Bash na itakua ni mara yao ya pili kuja kufanya show pamoja baada ya hiyo hit single ya ‘chokoza’.
Marya.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...