Wednesday, August 8, 2012

HILI NDILO JUMBA LA KIFAHARI LA PROFESOR J

Hii ni nyumba ya Legend wa bongofleva Profesa J iliyopo Mbezi ya Kimara Dar es salaam, Picha zake niliziweka on millardayo.com zaidi ya miezi minne iliyopita na zimeongoza kwa picha za wasanii zilizotazamwa sana on millardayo.com, Prof alisema Marehemu Complex ndio alimshawishi kununua hicho kiwanja na kujenga nyumba.
Hii nyumba aliijenga kutokana na pesa ya muziki peke yake.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...