Wednesday, August 8, 2012

MAPOKEZI YA PREZZO KENYA AKITOKEA BBA!!!!





CMB PREZZO ambae ni mshindi wa pili wa Big Brother Afrika 2012 akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta
.
.
.
Mama na mwana.
(Picha zote ni kutoka bigbrotherafrica.com )



PREZZO AONGEA KUHUSU KUSHINDWA KWAKE BBA

Juma pili ilikuwa ni siku kubwa sana kwa msanii Prezzo ambae alifanikiwa kufika finali katika mashindano ya Bigbrother, licha ya kushindwa kuondoka na mkwanja, aliipeperusha vizuri bendera ya Kenya kwa kuwa wa pili huku mula ikibaki South kwa mtu mzima Keagan.

baada ya mshindi kutangazwa na kila kitu kufanyika, kulifanyik abonge la after party club, iliyowajumuisha washiriki wote na mashabiki kusherehekea kwa mara ya mwisho. Wakati wa party hiyo washiriki walifanyiwa mahojiano mmoja baada ya mwingine, na hiki ndicho Prezzo alichofunguka...


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...