Saturday, August 4, 2012

JAMBAZI LAPATIKANA MOJA LA KIMBIA




Hizo ni picha za jambazi ambaye amepigwa risasi ya paja na askari wa doria leo mida ya saa 5 kasoro asubuhi ya leo na walikuwa wawili ,  mmoja amekimbia na mmoja wamemkamata na wananchi wenye hasira kali wamempiga na mawe ila hajafa na askari wamemchukua kwenda kumtibia ili awataje wenzie na inasemekana walivamia maeneo ya ubungo na wakapora pikipiki (bodaboda) wakakimbia, ila hawajawahi kupora kitu chochote zaidi ya pikipiki (boda boda) na wameuawa maeneo ya kigogo km unaenda tabata pikipiki yenyewe yenye usajili wa namba T 606 aina ya FEKON...  

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...