Saturday, August 4, 2012

HIVI ULIWAHI KUJIULIZA VIDEO YA KIUNO YA T.I.D NA NGWEA ITAKUAJE, WAREMBO AINA GANI WATAHUSIKA? IMESHATOKA TAYARI NDIO HII. Posted: 4th August 2012 by MillardAyo in News 0 Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa hivi kuna uwezekano ukawa umeisikia sana single mpya ya T.I.D


Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa hivi kuna uwezekano ukawa umeisikia sana single mpya ya T.I.D na NGWEA iitwayo Kiuno, wengi walioisikia walikua wanajijengea tu picha ya hiyo video itakuaje ikitoka, good news ni kwamba ndio imetoka leo na ndio hiyo hapo chini… ichek alafu usiondoke bila kutoa comment mtu wangu, pia unaweza kulike au kutweet na wenzio wawahi kuiona.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...