Monday, August 13, 2012

DR ULIMBOKA ALIVYOPOKELEWA AIRPORT AKITOKEA KWENYE MATIBABU.

.
Mwandishi wa habari Mroki wa mrokim.blogspot.com anaripoti kwamba Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania Dk. Steven Ulimboka amerudi leo august 12 2012 akitokea Afrika Kusini kwenye matibabu ambapo amepokelewa na madaktari wenzake, ndugu jamaa na marafiki kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Amesema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...