Saturday, December 10, 2011

NGOMA AFRICA BAND WAMESHATUA BERLIN


Ngoma Africa Band wakiwa jukwaani katika matumbuizo mbalimbali.
KUNDI la muziki la Ngoma Africa Band lijulikanano kama kikosi cha FFU litatoa burudani leo na kesho jijini Berlin, Ujerumani katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na kuzinduliwa kwa chama cha Umoja wa Watanzania walioko Ujerumani (UTU).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...