Tuesday, December 6, 2011

MAY YOU REST IN PEACE MR. EBBO



Baadhi ya ndugu na majirani wakiuaga mwili wa marehemu, Arusha leo hii.


Mke wa marehemu akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuuaga mwili wa mumewe.


Wazazi wa marehemu kutoka kulia ni baba yake na mama yake.


Mwili wa marehemu, Mr Ebbo ukiwa katika jeneza tayari kwa kwenda kuzikwa katika nyumba yake ya milele.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...