Sunday, February 12, 2012

Whitney Houston afariki dunia...


Whitney Houston enzi za uhai wake.
Mwanamuziki Whitney  Elizabeth Houston amefariki dunia jana Februari 11, 2012 akiwa katika hoteli ya Beverly Hilton iliyopo Beverly Hills, California nchini Marekani. Houston amefariki akiwa na umri wa miaka 48 na sababu za kifo chake bado hazijafahamika. Mbali na muziki, Whitney pia alikuwa muigizaji, muandaaji filamu, mtunzi wa nyimbo na mwanamitindo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...