Thursday, November 17, 2011

Comedy ZONE


Baba: "Mtihani wako wa hesabu ulikuwaje mwanangu?!"
Mtoto: "Kama kawa.... Rahisi saaaaana .... Tulisahishiwa na kurudishiwa hapo hapo..."

Baba: "Kama ulikuwa rahisi sasa ni nini kinachokukosesha raha?!"
Mtoto: "Maswali hayakunipa shida kabisaaaaaaa.... Kivumbi majibu yake sasa..." 

Baba: "Mmmmh, kwahiyo umepata ngapi mwanangu!?"
Mtoto: "Si mbaya saaaana, ilibaki kidogo saaaaana npate 100..."

Baba: "Mmmmh!!! Karibu ya 100?! Unamaanisha nini?!
Mtoto: "Ilikuwa bado 0 tu nipate 100 baba... Ila si mbaya saaaaana... Nimepata 10 mzee wangu...!!!!"

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...