Monday, September 24, 2012

PICHA YA AFANDE SELE AKIWA NUSU UCHI YAFANANISHWA NA BEBE COOL



Hii story inachekesha sana. Kuna madj nchini Uganda wameichukua ile picha maarufu ya Afande Sele aliyoteremsha suruali na kubaki na boxer kwenye stage na kudai kuwa huyo ni Bebe Cool.

Baada ya kuona hivyo Bebe Cool amekasirika kiasi cha jana kuandika kwenye page yake ya Facebook na kufafanua kwa mashabiki wake.

"hahahaha, I pity two silly fools, one works in Club Rouge as a cleaner by the names Onyango Gareth the other is a wanabe DJ mbu DJ Jojo Mimz as short as a shoe...

They post a fake pic of some up-coming tz artist called Afande Saly performing at a Tigo promo in TZ to counter attack the A and B story that I posted. Only they forgot that in UG thez no tigo and Bebe is a lot mo hairy and has mob side bans. sori ma fans aint drug addicts like A and B fans. ma fans can see"

Tumeongea  na Afande Sele kuhusiana na taarifa hiyo na kudai kuwa haifahamu na kusema kuwa anamuona Bebe Cool kama underground ndio maana hajawahi kupata show Tanzania.

Afande amesema msanii anayekubali nchini Uganda ni Chameleone na Bebe Cool anasema ni mshamba tu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...