Friday, September 14, 2012

JE, UNATAKA KUSHIRIKI KWENYE VIDEO MPYA YA HIGHEST PAID PERFORMER IN TZ, MR. DIAMOND PLATINUM?!? SOMA HII....


Do you think you are beautiful/handsome, and sexy na una uwezo wa kuwafanya watu washindwe kuhamisha macho yao mbele vioo vya TV zao?. Kama umebarikiwa hizo sifa then msanii anayetengeneza mkwanja mrefu zaidi kwa sasa hivi in Tzee music Industry Diamond Platinumz anakutafuta.

Siku ya tarehe 22 ya mwezi wa tisa kuanzia 5 asubuhi mpaka saa tisa katika mgahawa wa Lady Jay Dee – N
yumbani Lounge, Diamond Platnumz kwa kushirikiana na I-View Studios watakuwa wanafanya Audition ya kutafuta vijana wa kiume na wa kike wenye mvuto, wawe wenye kujua kucheza, smart kwa ajili ya kutokea kwenye video mpya za Diamond atakayofanya na msanii mkubwa wa kimataifa hivi karibuni.

NB: Beach wear muhimu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...