Thursday, November 7, 2013

Mitandao ya Marekani na Ulaya imetawaliwa na hii stori ya Will Smith.



smith
Story inayosambaa kwenye mitandao ya udaku hivi sasa ni kuhusu skendo inayomuhusu star wa movie Will Smith kwamba inasemekana ametoka nje ya ndoa yake na Jada Pinket ambapo amecheza faulo nje ya ndoa na mwanamke mwenye miaka 23 ambaye wamefanya nae kazi kwenye romantic comedy drama inaitwa Focus.

Picha hizi zinasambaa kwenye internet zikimuonyesha Will Smith akiwa kwenye crazy moments na Margot Robbie ambaye ni co-star kwenye Focus ambapo Will Smith ndiyo star, baada ya Jada kuonekana bila pete yake ya ndoa ndiyo story zikaanza kwamba wawili hao wameshagombana kwasababu ya hii skendo.
Baadhi ya mitandao imetoa udadisi wao kwamba picha hizi zinaweza kuwa sehemu ya scenes au behind the scenes ya Focus ambayo ina mapenzi na vichekesho ndani yake na huenda zikiwa moja ya moment ya uchukuaji picha wa drama hiyo au ni kweli Will Smith ametoka nje ya ndoa yake.
o-MARGOT-ROBBIE-FOCUS-facebookJuu ni Margot Robbie na hizo chini ndiyo picha zilizovuja akiwa na Will Smith
0

09

617784-star-magazine

k

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...