Waziri mkuu MIZENGO PINDA amesema”sijapokea barua yeyote kutoka kwa waziri yeyote kujiuzulu kama wapo watatuletea ila kwa upade wangu sijapokea barua yeyote.Pia kuhusiana na habari kuandwa kwenye magazeti sijafanikiwa kusoma na walasina uhakika na kilicho andikwa .
Ila kwa yeyote ambaye anatakakujua lolote kuhusu taarifa hizi ntatolea ufafanuzi siku ya juma tatu”.
No comments:
Post a Comment