MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Afrika Kusini anayetamba na kibao cha Fecebook, DJ Cleo, leo alfajiri aliwachizisha mashabiki wa burudani katika onyesho lililofanyika Viwanja vya Posta, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Katika onesho hilo DJ Cleo alisindikizwa na wakali wa muziki wa kizazi kipya wa hapa nchini.
Monday, March 12, 2012
DJ CLEO ALIVYOPAGAWISHA MASHABIKI DAR
MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Afrika Kusini anayetamba na kibao cha Fecebook, DJ Cleo, leo alfajiri aliwachizisha mashabiki wa burudani katika onyesho lililofanyika Viwanja vya Posta, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Katika onesho hilo DJ Cleo alisindikizwa na wakali wa muziki wa kizazi kipya wa hapa nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment