Sharobaro kakutana na Binti wa kilokole, akamuaproach demu akakubali, sharo alimwambia demu km yy Baba yake ni mchungaji
Cku m1 demu alimualika Sharobaro kwenye maombi Sharo akakubali, Demu akaona itakuwa c vizuri kumualika mtoto wa mchungaji kwenye maombi bila ya kumpa hata nusu saa ya kuomba
Demu akamuomba Baba mchungaji kabla ya wa2 kuanza shughuli ya maombezi Boyfrnd wake awe wa kwanza kuombea wa2 kwa mungu,
Sharobaro alipewa nafac na aliombea wa2 km ifuatavyo:
Dingi ye2 uliye majuu, jina lako lipewe maflag ya kufa m2, ufalme wako utuibukie kiaina magetoni, unachotaka kifanyike geto na maskani kwako, u2shushie mabaga, mapiza, masosej, chipc na mazagazaga kibao, 2chukulie poa km 2navyowachukulia cc wanao2zingua, uc2tie ktk manamna gn vp, na u2pe fedha yako huko paradiso, amen,
2tafanikiwa men,,,,,,
Waumin=!!!!!!????????
Demu=alizimia
No comments:
Post a Comment