Huyu Rick Ross wa bongo alinichekesha sana manake alijitokeza kusikojulikana wakati watu wana shauku ya kumuona Ross mwenyewe, watu walimshangilia kweli wakijua ni mwenyewe hata mimi mwenyewe nilikua mbali ikabidi nimfate lakini nilipokaribia nikajua ni Ross wa bongo.
KUANZIA HAPA NDIO RICK ROSS MWENYEWE.
COUTRY BOY
Linna
Mwana FA
Rick Ross.
.
.
HAPO SASA...
.
My Friend Jules na Vanessa Mdee wa 102.6 Choice Fm.
.
.
Huyu mshkaji amekuja na Rozay, ndio anahusika kumpiga picha zikiwemo video pia.
Alijichanganya katikati katikati pia.
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani, William Leonard Roberts II 'Rick Ross' usiku huu amehitimisha burudani za Serengeti Fiesta kwa mwaka huu baada ya kupiga shoo bab kubwa ndani ya Viwanja vya Leaders Club. Msanii huyo amewapagawisha mashabiki ambapo wengine wameshindwa kujizuia na kujikuta wakitaka kuvunja uzio ili angalau waamsogelee karibu kitendo kilichowapa kazi ya ziada mabaunsa waliokuwa katika viwanja hivyo.
No comments:
Post a Comment