Mkuu wa chumba cha kuhifadhi maiti, Bw. Andrew Kaswalala, akitoa miili ya marehemu katika friji muda mfupi kabla ya mazishi.
Mwili wa marehemu aliyeungua na kuharibika vibaya ukiwa chumba cha maiti.
Majivu ya marehemu kadhaa yakiwa ndani ya mfuko kabla ya mazishi!
WATU waliokufa katika basi la Deluxe lililopinduka na kuungua moto maeneo ya Kongowe, Mkoa wa Pwani, wakati likitoka Dar es Salaam kwenda Dodoma, walizikwa jana katika makaburi ya Air Msae.
Mtandao wetu ulikuwepo kukuletea yote yaliyojiri hapo.

No comments:
Post a Comment