Wednesday, November 9, 2011

Comedy ZONE

Mwanakwaya alienda kulalamika kwa padre kuwa mke wake hajui kufanya mapenzi kabisaaa... Na alikuwa na mpango wa kumuacha...

Padre akajibu kwa COMFIDENCE,
"Si afadhari mke wako anajua kidogo, mke wa mpiga kinanda ndio hajui kitu kabisaa, mke wa Petro yule mzee wa kanisa na tako lake kama la kichina ndo buree kabisaaa anazidiwa na sista Mary, yaani kwa humu mwenye afadhari ni mkeo na Salome yule mwalimu wa sunday school..."

No comments:

Post a Comment