Thursday, November 7, 2013

KUANGALIA VIDEO HII NGASSA AKIFANYA MAPENZI NA MDOGO WA FROLA MBASHA,MIAKA 18 TU...



Ilienea mtandaoni mwishoni mwa mwaka jana...
Na Wanaume wa Global walii-diskasi sana...
Kama uliikosa, basi wadau wameirusha upya...

Asante sana kwa kuturushia hii kitu kwani mi sikuwahi kuiona.
Ambaye ana quality nzuri au aina nyingine aturushie....
Watu wanakula bata jamani... 
Ukiwa na vihela au kaumaarufu kidogo tu hapa Bongo... 
Basi utafanya ufuska mpaka wanawake wote wakukome...Manaiki Sanga style...
Halafu mambo yakibumburuka, wanashikiwa bango...
Vipi kuhusu hawa mabinti wanaojirahisi na kujipeleka wenyewe kwa hawa mastaa uchwara?
Kwa mtindo huu, kazi ipo !!!

Video yenyewe ndiyo hii...
>>bofya hapa <<<< Hakikisha  ww ni mtu mzima unayejielewa

HII NI ZAIDI YA SODOMA NA GOMORA!!!!!


Jamaa alizwa mbela ya mashabiki.

Mzuka ukaanza kumpanda:
Hakika mzuka umempanda ful kumwaga Radhi.
jamaa amekamatia kisawa sawa yani ilikuwa full....



wakaamua kujifunika illi wamalize yao kabisa.

  KA 

CHINI YA MIAKA 18 TAFADHALI USIFUNGUE,NENDA SHULE KASOME.....









HAYO NDO SODOMA NA GOMORA YA DAAAAAAAAAAAAAAAR.....

Sunday, November 3, 2013

HII SASA NI KUFURU!!! P-SQUARE WAWEKA SOFA {SAMANI} ZA DHAHABU NDANI YA NYUMBA YAO MPYA.... SHUHUDIA MAPICHA HAPA...ENJOY




‘We Talking Money You Talking Nonsense’ huenda ikawa kauli nzuri kuelezea hiki walichokifanya P-Square kwa sasa. Hakuna ubishi kuwa, kwa hiki walichokifanya sasa, na kama macho yetu hayatudanganyi kwa hiki yanayokiona, mapacha hawa wamefanya kufuru. Kama hii inayoonekana ni dhahabu kweli, basi P-Square, hela wanayo.
4eb1c8da43d911e3bc6522000ae91414_8

3799cde443d611e3be7422000a9e0172_8
Peter ameshare picha hizi nne ambazo wiki hii zitakuwa gumzo barani Afrika ambapo kwenye picha moja inayomuonesha pacha mwezie Paul akiwa amesimama kwenye sebule mpya inayoaminika kuwa ya nyumba yao mpya, ameandika ‘Goldenworld #blessed.’
8300d71043da11e399e522000a9e28c4_8
Kwenye picha nyingine, wanaoonekana wakiwa pamoja kwenye sebule hiyo iliyotawaliwa na kile kinachoonekana kama dhahabu zilizozunguka sofa za kuvutia na Peter ameandika: #2kings…… Work hard,play harder.’
7493d06843dc11e3a21b22000ae913ab_8
Picha nyingine inamuonesha Peter akiwa peke yake kwenye meza ya chakula, kubwa, iliyojaa vyombo vya thamani vya kuvutia na ameandika: A king in my own world…. #Blessed.”

Monday, December 17, 2012

MAMBO YA KOFFI OLOMIDE NDANI LEADERS!!!



 Mwanamuziki mahiri ndani ya kundi la Quartie Latin aitwae Cindy, linaloongozwa na nyota wa muziki wa dansi kutoka nchini DRC-Congo,Koffi Olomide akiimba jukwaani usiku huu  mbele ya umati mkubwa uliojitokeza kwa wingi (hawapo pichani),kwenye tamasha la usiku wa Tusker Carnival ndani ya viwanja vya lidaz Club,Kinondoni jijini Dar.

 Mwanamuziki Koffi Olomide akijimwaya mwaya kwa madaha kabisa jukwaani usiku huu kwenye tamasha la Tusker Carnival,huku akishangiliwa na umati mkubwa watu uliohudhuria tamasha hilo.
Wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza kwa wiki usiku huu kwenye onesho la Mwanamuziki wa Kimataifa,Koffi Olomide,wakiwa wametulia tulii huku wakiburudishwa na rhumba live kabisa.




 Pichani juu na chini ni Mwanamuziki wa Kimataifa Koffi Olomide sambamba na skwadi lake la Quartie Latin



 Koffi Olomide akimtambulisha rafiki yake mkubwa jukwaani,Mkurugenzi wa Clouds Media G Joseph Kusaga,ambaye ndiye aliyemleta hapa nchini kwa udhamini mkubwa wa kampuni ya  bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Tusker,ambapo pia mwanamuziki huyo alimshukuru sana Joseph kusaga kwa ukarimu wake.


 Mkurugenzi wa Clouds Media Group,akizungumza machache na kuwashukuru sana wadhamini wa onesho hilo sambamba na wadau mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kwenye onesho hilo ambalo limefana kwa kiasi kikubwa.

 Koffi Olomide akimtambulisha mwanamuziki wake mahiri Cindy mbele ya mashabiki wake.
Wapenzi na washabiki wa Muziki wa Dansi wakiendelea kushuhudia yaliyokuwa yakijiri jukwaani kama waonekanvyo pichani.


 Koffi Olomide akiimba jukwaani na madansa wake kwa umahiri mkubwa



 sehemu ya umati wa washabiki wa onesho la Tusker Carnival wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri jukwani.


 Koffi Olomide akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti,Steve Gannon ambao ndio wadhamini wa onesho lake,anaeshuhudia kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Medai Group,Joseph Kusaga.




  Pichani juu na madensa wa Koffi Olomide wakiwajibika jukwaani vilivyo





 Cindy akiimba kwa hisia mbele ya mashabiki wake (hawapo jukwaani? usiku huu.

  Sehemu ya umati wa mashabiki wakifuatilia onesho.


 Palinogaje sasa na madensa wa Koffi Olomide.


 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SBL,Steve Gannon akielekezwa jambo na Mwanamuziki wa Kimataifa Koffi Olomide kabla ya kupanda jukwaani.



 Mwanamuziki wa Kimataifa Koffi Olomide akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Kampuni ya SBL,ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho la mwanamuziki huyo,aliyefanikiwa kuzikonga nyoyo za washabiki wake kwa kiasi kikubwa usiku wa leo kwenye viwanja vya lidaz,Kinondoni jijini Dar.Koffi Olomide siku ya jumapili atatumbuiza kwenye uwanja wa CCM-Kirumba jijini Mwanza.
 Mwanamuziki Kalala JR akiliongoza jahazi lake la Twanga Pepeta jukwaani usiku huu.


 Wanamuziki wa Bendi ya Skylight wakionyesha umahiri wao wa kulishambulia jukwaa kwenye Tamasha la Tusker Carnival linaloendelea usiku huu kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijinin Dar es Salaam.
 Wanamuziki wa Bendi ya Diamond Musica wakifanya mambo yao jukwaani kwenye Tamasha la Tusker Carnival linaloendelea usiku huu kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijinin Dar es Salaam.
 Madansa wa Bendi ya Twanga Pepeta wakiwachengua Mashabiki wao wakati wa muendelezo wa Tamasha la Tusker Carnival linaloendelea usiku huu kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijinin Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti,Ephrahim Mafuru (katikati),Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti,Nandi Mwiyombela na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacoma Tanzania,Kelvin Twissa wakibadilishana mawazo wakati wa muendelezo wa Tamasha la Tusker Carnival linaloendelea usiku huu kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijinin Dar es Salaam.
 Pichani juu na chini ilikuwa ni shangwe na furaha kwa wafanyakazi wa kampuni ya SBL pamoja na Wadau wao,wakati Mopao Mokonzi Koffi Olomide alipokuwa akitumbuiza jukwaani.


 Wadau.
 Shangwe kwa Mashabiki wa Muziki wa Dansi jijini Dar.
Mdau akigonga vitu huku akiwa kaweka pochi yake mkononi.


 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...